🌟 MASWALI YANAYOULIZWA MARA KWA MARA
(Frequently Asked Questions)
Karibu Cambria Marbles . Wauzaji na wasambazaji wa marumaru, granite na quartz zenye ubora wa juu.
---
🧱 Jumla
Q1. Bidhaa gani zinapatikana Cambria Marbles?
A: Bidhaa zetu ni marumaru, granite na quartz maalumu kwa sakafu, sehemu za jikoni, ukutani, ngazi na varieties .
Q2. Mnapatikana wapi?
A: Tunapatikana Dar es Salaam, Tanzania. Tunatuma bidhaa zetu mikoa yote.
Q3. Mnahudumia miji mingine pia?
A: Ndiyo✅ Tunahudumia mikoa yote Tanzania kwa ubora wa hali ya juu (Arusha, Dodoma, Mwanza, Mbeya, Morogoro n.k )
Q4. Nini kinawatofautisha na makampuni mengine?
A: Ubora wa bidhaa, bei za uwazi na usafirishaji kwa wakati. Bidhaa zetu zinatoka maeneo bora kama India na kwingineko.
---
🏗️ Bidhaa & Ubora
Q5. Unene wa kawaida wa slabu zenu ni upi?
A: Kawaida ni 15–20 mm.
• Smart Marble Series: ~15 mm (nyepesi na rahisi kutumia)
• Granite / Quartz / Premium Marble: 18–20 mm (nguvu zaidi)
• Vipimo vingine vinapatikana kwa oda.
Q6. Vipimo vya slabu mnavyouza ni vipi?
A: Vipimo hutofautiana kulingana na bidhaa(marble, granite, quartz).
👉 Vipimo kamili, angalia kurasa za bidhaa www.buildwithcambria.com.
Q7. Je slabu zenu ni mawe asilia au yanatengenezwa kiwandani?
A: Zote. Mawe ya asili (marumaru, granite) na quartz inayotengenezwa kiwandani, Chaguo kulingana na budget na muonekano.
Q8. Naweza kuona slabu halisi kabla ya kununua?
A: Ndiyo, Tembelea showroom yetu au uombe picha/video zenye ubora kupitia Whatsapp au Instagram.
Q9. Slabu zote zina polish? Naweza kuomba kumaliziwa tofauti?
A: Polish ndiyo kiwango cha kawaida. Aina nyingine za polish, zinategemea na maombi ya mteja.
Q10. Nifanye nini kutunza marumaru au granite?
A: Tumia sabuni nyepesi, maji, epuka kutumia asidi na hakikisha unafanya polishi ya jiwe la asili kila mwaka.
---
🚚 Ufikishaji & Ufungaji
Q11. Je mnatoa huduma ya kukata na kumalizia au hakuna?
A: Ndiyo✂️ Tunakata na kumalizia kulingana na mstari kwa countertops, sakafu na paneli za ukuta.
Q12. Usafirishaji huchukua muda gani?
A: Kwa Dar es Salaam: ~24–48 masaa baada ya kuthibitisha oda.
Kwa mikoani huchukua siku 2–5 kulingana na umbali.
Q13. Mnabebaje slabs kwa safari ndefu?
A: Tunatuma masanduku ya mbao yenye kiwango cha usafirishaji wa kimataifa na kufunga kwa uimara hata kwa njia za mbali.
---
💳 Oda & Malipo
Q14. Nawezaje kuweka oda?
A: Tembelea showroom yetu au mawasiliano : 0747 308 993 / 0741 107 507
Instagram: @cambria_marbles
Q15. Njia gani hutumika kwa malipo?
A: Fedha taslimu, uhamishiwa benki na njia ya simu. Malipo ya awali ndiyo uthibisho wa oda na nafasi ya usafirishaji .
Q16. Mnatoa punguzo kwa wateja?
A: Ndiyo 💼 Punguzo maalumu hutolewa kwa oda kubwa na miradi ya ujenzi.
Q17. Naweza kumrudisha au kubadilisha slab?
A: Kwa sababu ya asili ya mawe, hakuna marejesho baada ya slab kukata au kusafirishwa. Tafadhali kagua kabla ya kununua.
---
💬 Bado una maswali?
Piga simu :+255 747 308 993
Email :@Cambriamarbles.tz@gmail.com — Tunafurahi kukusaidia.
Cambria marbles - Dar es Salaam
Wanzeji wa marumaru, granite na quartz za kifahari, kuanzia mauzo ya slabu za premium hadi kukata kwa ustadi, tunakuletea uimara, uzuri na na ubora wa kudumu kwa kila mradi.
Iwe ni mbunifu (architect) mkandarasi au mwenye nyusa, team yetu ya wataalamu itakusaidia kuchagua mawe bora yanayoonyesha ubora za kupendezesha nafsi yako .
Maelekezo ya haraka:
- Umaliziaji wa mwonekano - Polishi
- Asili - India
- Daraja - Juu/Premium
- Kampuni : Cambria Marbles
- Simu : +255747308993 / +255741107507
- Barua pepe : @Cambriamarbles.tz@gmail.com
- Instagram : cambria_marbles
Unataka bei ya haraka? Bonyeza kifuge cha Whatsapp na ushirikishe maelezo ya mradi wako(ukubwa, aina ya finish na idadi)
Kwa Whatsapp
Jinsi ya kutufikia:
Tupo Dar es Salaam. Tumia ramani ya upande wa kulia kupata maelekezo au bonyeza pin kufungua Google Maps. Ushauri kwa madereva ,Tafuta "Cambria marbles , Dar es Salaam" kwenye Google maps kupata alama sahihi.
Mawasiliano
0747308993 / 0741107507
Cambriamarbles.tz@gmail.com
Dar es Salaam, Tanzania
Instagram|Whatsapp|Google Maps